Kwa wengi, utoaji wa damu huchukua dakika chache tu. Lakini kwa mgonjwa asiyemfahamu anayetoa damu hiyo, huona kuwa zawadi ya uhai. Kila mfuko wa damu hubeba simulizi ya matumaini. Simulizi ya maisha yanayookolewa. Simulizi ya ukarimu wa mtu asiyejulikana anayempa mwingine nafasi ya kuendelea kuishi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya