Utumikishwaji wa watoto Afrika

  • | BBC Swahili
    395 views
    Mtoo mmoja kati ya watoto wanne katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ameajiriwa. Nchini Ethiopia, karibu nusu ya watoto wote wapo katika ajira ya watoto, ikifuatiwa kwa karibu na Burkina Faso (42%), Chad (39%), Cameroon (39%) na Togo (39%). Je nini kifanyike kupunguza utumikishwaji kwa watoto #bbcswahili #watoto #afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw