Skip to main content
Skip to main content

Uvamizi katika soko la samaki la Lodwar

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 1:52
    Wafanyabiasha wa samaki katika Soko la Lodwar wamejitokeza na kukashifu visa vya kuvamiwa na majangili kila mara sokoni humo. Wakizungumza mjini Lodwar baada ya mtu mmoja kupigwa risasi na wengine wao kuporwa pesa Zaidi ya laki tano, wafanyabiashara hao wanasema maisha yao sasa yamo hatarini . Kamanda wa Polisi Kaunti ndogo ya Turkana ya kati Evans Ombui amahidi kuchukua hatua madhubuti kuweka doria sokoni.