Uvumbuzi wa AI watumika kuiga uhasilia wa mambo kwa kutumia program ya kompyuta

  • | VOA Swahili
    36 views
    Uvumbuzi wa hivi karibuni katika nyanja ya programu za kompyuta, maarufu kama AI, ni video inayoiga uhalisia wa mambo, iliyoundwa kutokana na kuandikwa kwa maneno machache tu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.