Uwanja wa Bukhungu watakiwa kukamilishwa kwa ajili ya michezo ya shule za upili za afrika mashariki

  • | NTV Video
    153 views

    Shirikisho la michezo Ya shule za upili Afrika Mashariki limeipa serikali ya kaunti ya kakamega kipindi cha mwezi mmoja kukamilisha ujenzi wa uwanja wa Bukhungu ambao unatarajiwa kutumika kwa michezo ya shule za upili afrika mashariki mwaka huu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya