- 15,962 viewsDuration: 36sMacho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa kwenye ripoti ya Tume ya Uchunguzi inayokabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan. BBC itakuletea tukio hili kupitia mitandao ya kijamii ya BBCswahili Youtube na Facebook muda mfupi kutoka sasa #bbcswahii #oktoba29 #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw