Uwekezaji katika rasilimali na teknolojia na mafunzo kwa wahudumu wa afya

  • | K24 Video
    9 views

    Uwekezaji katika rasilimali na teknolojia na mafunzo kwa wahudumu wa afya ni baadhi ya mambo muhimu yanayohitajika kufanywa ili kutambua usawa katika kuangazia magonjwa ya matatizo ya kiakili na msaada wa kisaikolojia kwa wagonjwa haswa wakati wa kukabiliana na majanga na hali za dharura. Kama anavyoripoti bentura kwamboka kituo cha kudhibiti magonjwa afrika kinanuia kuboresha kampeni za kukabiliana magonjwa hayo katika ukanda wa afrika mashariki na bara nzima.