Skip to main content
Skip to main content

Valentine mapenzi au biashara ?

  • | BBC Swahili
    1,417 views
    Duration: 8:50
    Siku ya Valentine huadhimishwa tarehe 14 Februari na watu duniani kote hutenga muda wa kuonyesha upendo kwa wapendwa wao. je hii ni sherehe ya mapenzi ya kweli au imegeuka kuwa mashindano ya zawadi na maonyesho mitandaoni? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw