Skip to main content
Skip to main content

Video ya mbunge wa Nyaribari Chache Jhanda kugawa fedha yaibua mjadala kuhusu uhuru wa wapiga kura

  • | Citizen TV
    5,042 views
    Duration: 3:22
    Video zinazomuonyesha Mbunge wa Nyaribari Chache Zaheer Jhanda akigawa fedha kwa wakazi zimeibua hisia tofauti miongoni mwa Wakenya, wengi wakisema hatua hiyo inadhalilisha hadhi ya wananchi na kudhoofisha uhuru wa wapiga kura. Mashirika ya kijamii sasa yanaitaka Tume ya Uchaguzi IEBC kuingilia kati, kudhibiti matukio hayo na kusitisha kampeni za mapema.