- 21,887 viewsDuration: 1:17Madai ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amefariki au kujeruhiwa yameenea mtandaoni. Katika kuthibitisha kwamba yuko hai, Netanyahu alitoa video akiwa kwenye mgahawa. Sasa BBC Verify imeangalia video hizi. @martha_saranga anaelezea kama ni za kutengeneza au halisi #bbcswahili #israel #BenjaminNetanyahu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw