Skip to main content
Skip to main content

Vifo vya kina mama wajawazito zaendelea kuongezeka kutokana na kuvunja damu wakijifungua

  • | Citizen TV
    1,453 views
    Duration: 3:06
    Vifo vya wanawake wanapojifungua vimeendelea kuripotiwa licha ya mikakati iliywekwa na mashirika mbalimbali na serikali za kaunti. wanawake elfu moja na mia tano wanaripotiwa kufariki kati ya januari 24 na Oktoba mwaka wa 2025 katika kaunti 25 humu nchini kutokana na kuvuja damu zaidi wakati wa kujifungua.