Vihiga yashinda mechi ya kwanza katika mashindano ya CECAFA nchini Uganda

  • | Citizen TV
    510 views

    MABINGWA WA LIGI KUU YA KANDANDA YA WANAWAKE NCHINI KENYA VIHIGA QUEENS WALIANZA VYEMA MASHINDANO YA KLABU BINGWA LA CECAFA BAADA YA KUIADHIBU TIMU YA NEW GENERATIONS KUTOKA ZANZIBAR MABAO 3-1 NCHINI UGANDA.