7 Oct 2025 10:58 am | Citizen TV 356 views Duration: 1:57 Katibu katika Wizara ya Ulinzi Patrick Mariru, ameongoza uzinduzi wa mpango wa serikali wa Nyota katika Kaunti ya Laikipia, mradi unaolenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo na mtaji wa kuanzisha biashara.