Vijana DRC waanza kupewa mafunzo ya kivita kupambana na waasi

  • | VOA Swahili
    63,345 views
    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limepambana vikali na waasi wa M23 katika mji wa Kibumba ulioko kilomita 20 kaskazini wa mji wa Goma. Mapigano hayo yanaendelea kwa siku ya pili, huku jeshi la DRC likisema limefanikiwa kuwarudisha nyuma waasi wa M23 waliokuwa na lengo la kuuteka mji wa Kibumba ambao ni mji mkuu wa Kivu Kaskazini unaopakana na Rwanda. Sikiliza repoti kamili kutoka kwa mwandishi wetu akieleza hali ya wananchi na hatua serikali inayochukua ... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.