10 Nov 2025 10:56 am | Citizen TV 86 views Duration: 1:50 Makundi ya vijana katika eneo la Kinondo kaunti ya Kwale yameanza kusambaza jumbe za amani kwa kutumia sanaa ili kuwafikia watu wengi katika maeneo ya vijijini.