Vijana katika kaunti ya Samburu wahimizwa kutumia talanta yao kujikimu kimaisha

  • | Citizen TV
    407 views

    Vijana katika kaunti ya wafugaji ya Wasamburu wamehimizwa kutumia talanta yao kujikimu kimaisha badala ya kulalama kuhusu ukosefu wa ajira. Hali ambayo huwashinikiza baadhi yao kujihusisha na uraibu wa dawa za kulevya na wizi wa mifugo