19 Dec 2025 1:10 pm | Citizen TV 153 views Duration: 2:13 Serikali imeanzisha mpango wa kutoa mafunzo kwa vijana waliohitimu na kutuma maombi ya kufanya kazi katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika kaunti ya Turkana.