Vijana kutoka jamii ya wasomali, Nairobi wamsuta mbunge wa Daadab kwa matamshi kuhusu walioandamana

  • | NTV Video
    5,040 views

    Kundi la vijana kutoka jamii ya wasomali hapa nairobi wamemsuta mbunge wa daadab farah maalim kwa madai ya kutoa matamshi yasiyofaa kuwahusu vijana waliokuwa wakiandamana dhidi ya serikali. Kulingana na vijana hao matamshi ya mbunge huyo yanalenga kuleta mgawanyiko kati ya vijana na viongozi huku wakimataka mbunge huyo kuomba msamaha gen z.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya