Skip to main content
Skip to main content

Vijana kutoka Kwale, Kilifi na Mombasa wanufaika na NYOTA

  • | KBC Video
    1,696 views
    Duration: 4:19
    Wajasiriamali chipukizi 5,880 kutoka kaunti za Mombasa, Kwale na Taita-Taveta walipokea jumla ya shilingi Milioni-139.5 leo kama mtaji wa kuanzisha biashara chini ya mradi wa kitaifa wa fursa za vijana kujiendeleza kiuchumi almaarufu-NYOTA. Walionufaika walitoka wadi-70 kwenye magatuzi hayo matatu, na walipokea ruzuku hiyo kupitia simu zao za rununu katika hafla iliyoongozwa na rais William Ruto kwenye uwanja wa maonesho wa Jomo Kenyatta jijini Mombasa. Mwanahabari wetu Ann Mburu ana habari hii kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive