Vijana Marsabit wapoteza fursa za ajira mtandaoni

  • | KBC Video
    16 views

    Vijana katika kaunti ya Marsabit wametaja mawasiliano duni ya mtandao na ukosefu wa umeme kuwa kikwazo kikuu kwa juhudi za kutafuta ajira mtandaoni.Hayo yalijiri huku zaidi ya vijana-500 wakinufaika kutokana na mafunzo ya ki-mtandao kuhakikisha wana ujuzi unaohitajika kujitosa kwenye ulimwengu wa ajira za mitandaoni ili kujipatia tija kufuatia ushirikiano baina ya shirika la Catholic Relief Services na mpango wa Ajira Digitali. Mashirika hayo mawili yamezitaka serikali kuu na serikali za kaunti kushirikiana na mashirika yasio ya serikali kuwapa vijana ujuzi na fursa za ajira mtandaoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive