Vijana Mombasa waandamana kupinga mswada wa fedha-2024

  • | KBC Video
    36 views

    Baadhi ya vijana mjini Mombasa walistahimili mvua kubwa na kuandamana kama njia ya kuwaunga mkono wenzao wa jiji la Nairobi kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024. Waandamanaji waliosema mswada huo unawarundikia mzigo wa kiuchumi wakenya waliwataka wabunge kuupinga kwa jumla. Waandamanaji hao walisema wataendelea na maandamano hadi mswada huo utakapotupiliwa mbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive