29 Apr 2026 1:22 pm | Citizen TV 77 views Vijana viongozi barubaru kutoka eneobunge la Kabondo Kasipul wamezindua kampeni ya kumaliza uhuni miongoni mwa vijana . viongozi hawa wakisisitiza kwamba ni sharti vijana waheshimiwe na kutotumiwa vibaya na viongozi