- 305 viewsDuration: 1:34Vijana katika kijiji cha Mahoma eneo bunge la Budalang’i kaunti ya Busia wanaitaka serikali na washikadau wengine wa mazingira kushirikiana nao katika juhudi zao za kukabili mafuriko ambayo yamekuwa donda sugu katika eneo hilo kutokana na mto nzoia kufurika na kuvunja kingo zake