Vijana wa Nyandarua walalamika kuhangaishwa

  • | Citizen TV
    473 views

    Kundi la vijana kutoka kaunti ya Nyandarua wameikashifu serikari kuhusiana na visa vya vijana kuhangaishwa, kukamatwa kiholela na kutekwa nyara.