16 Dec 2025 10:27 am | Citizen TV 125 views Duration: 1:09 Kama njia ya kupunguza idadi kubwa ya wakenya wanaotambuliwa na msongo wa mawazo, wizara ya jinsia imewataka vijana nchini na ambao wamedhibitishwa kuathirika pakubwa kubuni njia za kuyazungumzia matatizo waliyo nayo.