- 481 viewsDuration: 1:02Gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki sasa anawataka vijana kutopiga domo sana mitandaoni na kujitokeza kupiga kura.Kwa mujibu wa gavana Njuki, usajili wa kura kwa wakenya kutawapa nafasi murwa ya kujichagulia viongozi wawatakao