1 Oct 2025 1:48 pm | Citizen TV 456 views Duration: 1:59 Kundi la vijana kutoka eneo mbunge la Laikipia Magharibi limeanzisha harakati za kuhamasisha vijana wenzao kutoka eneo hilo kujiandikisha kuwa wapigakura .