- 385 viewsDuration: 2:50Changamoto imetolewa kwa vijana wafugaji katika kaunti ya samburu, kukumbatia kilimo biashara ili kubuni ajira na kujihakikishia mapato ya kukidhi maisha mahitaji yao ya kila siku. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Bonface Barasa,baadhi ya vijana hao wamewezeshwa na shirika la usalama wa chakula duniani WFP kufanikisha ndoto hiyo.