Vijana wahamasishwa kuhusu kozi za kiufundi Kisii

  • | Citizen TV
    84 views

    mamia ya vijana kutoka chuo cha Riatirimba ndio wa hivi punde kupata Uhamasisho kutoka kwa mashirika mbalimbali ya serikali na ya kibinafsi kuhusu manufaa ya masomo ya kiufundi ili kupiga jeki sekta hiyo. wataalamu mbalimbali walikongamana kisii kwa hafla hiyo na kuwahimiza vijana kujitosa kwenye kozi za kiufundi ili waweze kujiajiri na kuongeza nafasi za ajira nchini.