17 Sep 2025 1:45 pm | Citizen TV 149 views Duration: 2:09 Katibu katika wizara ya vijana Fikirini Jacobs amesema kuwa serikali iko mbioni kulinda uvumbuzi wa vijana ili kuwasaidia kuongeza juhudi za ubunifu katika kuwapa ajira.