Gen-Z: "Rais anapaswa kujiuzulu!"

  • | K24 Video
    295 views

    Ombi la msamaha la Rais William Ruto kwa vijana wa kizazi cha Gen Z wakati wa Siku ya Kitaifa ya Maombi limezua mjadala mkali. Licha ya kuhimiza msamaha na maridhiano, wengi wamepinga na kutilia shaka kauli hiyo.