Vijana waliorekebisha tabia wahamasisha wenzao kuachana na uhalifu Mombasa

  • | Citizen TV
    204 views

    Mamia ya vijana waliokuwa wakijihusisha Na uhalifu Na kuamua kurekebisha tabia walifanya maandamano ya amani kutoa hamasisho kwa Vijana kurekebika Na kujihusisha Na miradi ya maendeleo.