Vijana wapewa fursa ya kuchangia mjadala wa mabadiliko ya tabianchi mjini Sharm El Sheikh

  • | Citizen TV
    346 views

    Mkutano wa kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi umeingia siku ya Tano hii Leo,huku vijana wakipewa nafasi katika kuelezea changamoto na suluhu za kudhibiti majanga yanayotokana na mabadiliko hayo.