Vijana wasema Changamoto zimezidi kuweza kuingia soko la kitaaluma

  • | VOA Swahili
    240 views
    Nchini Msumbiji, vijana wanalenga kuendelea na masomo rasmi na kupata kazi, lakini wanasema kuingia katika soko la kitaaluma kumezidi kuwa na changamoto. Fursa ni chache, na matarajio ya mwajiri ni makubwa. Amarilis Gule alizungumza na baadhi ya waliotafuta kazi kutoka Maputo, Msumbiji na Hubbah Abdi anasimulia... #msumbiji #ajira #ukosefuwaajira #voa #voaswahili