- 174 viewsDuration: 1:25Kama njia moja ya kubuni ajira kwa vijana, baadhi ya koo zimeanzisha mchakato wa kuwawezesha vijana hao hasa kupitia kilimo hatua inayonuia kuziba pengo la ajira miongoni mwa vijana.Mwenyekiti wa kitaifa wa ukoo wa Bakiyabi, Henry Kisasati akizungumza kwenye hafla ya mwaka ya ukoo huo eneo la Chesikaki eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma anasema kuanzishwa kwa kamati mbalimbali kumezaa matunda na kupelekea vijana kujiajiri baada ya kupewa mafunzo hasa kwenye sekta ya kilimo na uwekezaji.