Skip to main content
Skip to main content

Vijana watakiwa kujisajili kuwa wapiga kura

  • | KBC Video
    39 views
    Duration: 1:27
    Mbunge wa Uriri, Mark Nyamita, amewahimiza wakenya hususan vijana kuchukua vitambulisho na kujisajili kuwa wapiga kura. Aliwahimiza kutumia fursa ya shughuli ya uhamasisho na usajili inayoendelezwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive