Skip to main content
Skip to main content

Vijana wazindua kampeni ya ‘Situmiki’ dhidi ya ghasia za kisiasa

  • | Citizen TV
    705 views
    Duration: 2:37
    Huku matukio ya matumizi ya makundi ya wahuni katika majukwaa ya kampeni za siasa yakiendlea kuzua wasiwasi nchini, vuguvugu la vijana linaloitwa 'sitatimika' limezindua rasmi mchakato wa kuhamasisha umma dhidi ya wanasiasa kutumia vijana kuzua rabsha.