Vijana zaidi wageukia kilimo biashara kujikimu kimaisha

  • | Citizen TV
    310 views

    Kwenye Kilimo biashara wiki hii, vijana wamezidi kugeukia kilimo biashara kama mojawapo ya njia kuu za kujiendeleza na kujikimu kimaisha. Wengi wamechagua kilimo baada ya kupokea mafunzo kutoka kwa wataalam kutumia teknolojia za kisasa haswa kwenye mitandao.