Vikao vya Seneti mashinani zafanyika katika kaunti ya Turkana

  • | Citizen TV
    180 views

    Maandalizi ya vikao vya Seneti mashinani yamenoga katika kaunti ya Turkana, ambako maseneta watafanya vikao kwa siku tano mwisho wa mwezi wa Septemba.