Skip to main content
Skip to main content

Vinywaji vya moto sana vinaweza kuongeza hatari ya saratani.

  • | BBC Swahili
    931 views
    Duration: 1:28
    Wanasayansi wanaonya kwamba vinywaji vya moto sana vinaweza kuongeza hatari ya saratani. Wanadai kuwa vinywaji kama chai, kahawa au vinywaji vingine vikiwa na moto sana vinaweza kuharibu utando wa seli za umio vinapopita kuelekea tumboni. @bosha_nyanje anaelezea kwa kina #bbcswahili #saratani #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw