21 Jul 2026 11:17 am | Citizen TV 7,854 views Duration: 2:27 Baadhi ya wafuasi waungao mkono mrengo wa kisiasa wa Linda mwananchi katika kaunti ya Bungoma wawasuta wenzao wa Kenya kwanza kwa siasa za matusi na vitisho kwa kiongozi wao seneta wa Nairobi Edwin Sifuna.