Viongozi kutoka Kaunti ya Busia wameirai EACC kukaza kamba ya kuwachukulia hatua viongozi wafisadi

  • | TV 47
    6 views

    Viongozi kutoka Kaunti ya Busia wameendelea kulamikia hali ngumu ya maisha nchini huku wakikashifu serikali kwa kutojali hali hiyo ambayo imekuwa ikiwaumiza Wakenya pakubwa.

    Wameirai EACC kukaza kamba ya kuwachukulia hatua viongozi wafisadi ambao wamekuwa wakidaiwa kujihusha na kutoa michango ya pesa nyingi kuliko kiasi cha mapato yao.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __