Viongozi kutoka Samburu wakashifu maandamano ya upinzani wakisema si suluhu ya matatizo yao

  • | Citizen TV
    540 views

    Siku Moja Baada ya maandamano ya Azimio la umoja, viongozi kutoka Kaunti ya Samburu wamekashifu maandamano hayo ya upinzani na kusema si suluhu ya matatizo yanayowakumba wakenya. viongozi hao badala yake wanataka maandamano hayo kusitishwa.