Viongozi mbalimbali wamepongeza hatua ya Raila na rais Ruto kukubali kufanya mazungumzo

  • | K24 Video
    239 views

    Taifa la Marekani, mashirika ya kimataifa, viongozi na wananchi wamepongeza hatua ya kinara wa Azimio Raila Odinga na rais William Ruto kukubali kufanya mazungumzo baada ya kusitisha maandamano. Hata hivyo wito umetolewa kwamba mazungumzo hayo yanastahili kuangazia maslahi ya wakenya na wala sio manufaa ya kibinafsi ya wanasiasa