- 2,838 viewsDuration: 2:14Mrengo wa ODM wa linda ground leo umepeleka siasa zake kaunti ya Kilifi walikoendelea kupigia upatu ushirikiano wao na UDA. Aidha, viongozi hawa wakiongozwa na mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga wamewasuta wenzao wa mrengo wa linda mwananchi wakiwataka kumuheshimu kiongozi wao Oburu Oginga.