Skip to main content
Skip to main content

Viongozi Pwani wahimiza wakazi kusajiliwa kama wapigaji kura

  • | KBC Video
    142 views
    Duration: 3:20
    Baadhi ya viongozi kutoka eneo la Pwani wamehimiza kila mwanachi anayepaswa kujisajili kuwa mpiga kura kutumia shughuli inayoendelea ya usajili wa wapigaji kura kufanya hivyo katika azma ya kuimarisha ushawishi wa kisiasa wa eneo hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Wito huo ulitolewa kufuatia zoezi la mapema asubuhi la matembezi ya kilomita-10 yaliyowahusisha zaidi ya vijana elfu-1 kutoka Mombasa kwenye eneo la Mama Ngina Waterfront. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive