Viongozi serikalini wakemea gumzo la wizi wa kura

  • | Citizen TV
    2,007 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki amewakashifu vikali viongozi anaosema wanahujumu utendakazi wa serikali ikiwemo kuchochea maandamano nchini. Akizungumza huko Busia na Kakamega, Kindiki amesema serikali itaendelea kuwaunganisha wakenya, huku mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi akitumia fursa hiyo kutupilia mbali madai ya wizi wa kura yaliyotolewa na mwakilishi wa kike wa Wajir Fatuma Jehow.