Viongozi wa Azimio waitaka serikali kutii amri za korti

  • | Citizen TV
    724 views

    Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya sasa unadai kuwa nchi inarejea polepole kwenye siku za giza za udikteta chini ya utawala wa rais william ruto. Wakiongozwa na kinara wa upinzani raila odinga, viongozi hao walimkashifu Rais Ruto kutokana na vitisho vyake vya hivi majuzi na shutuma za ufisadi dhidi ya idara ya mahakama.