- 94 viewsDuration: 1:10Chama cha Maendeleo ya Wanawake, tawi la Nairobi kimemkosoa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Zipporah Kitony kwa madai ya kuvuruga uongozi wa sasa wa chama hicho. Viongozi hao pia wamekanusha madai ya kuwahujumu wanachama wakati wa mkutano wa kila mwaka wa chama hicho ulioandaliwa huko Sagana mwaka uliopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive