Viongozi wa chama cha UDA wataka serikali imkabili vilivyo Raila

  • | K24 Video
    46 views

    Chama tawala cha UDA kimeitaka serikali imkamate na kumshtaki kinara wa Azimio Raila Odinga kwa kosa la ugaidi kikiamini kuwa ndio njia pekee ya kuzuia maadamano dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza katika siku za usoni. Vilevile mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amemsuta Odinga akisema nia yake ni kushirikishwa katika serikali ya rais William Ruto.